Book Cover

Noah Henry: Hadithi ya Upinde wa Mvua (Swahili)

Contributor(s): Sobel Lederman, Deana (Author)

ISBN: 9781636070223

Publisher: Calec

Binding Types:

$12.99
$25.94 (Final Price)
$24.74 (100+ copies: $23.99)
List/retail price:
$12.99
- +
Buy

Pub Date: October 15, 2020

Lexile Code: 0000

Target Age Group: 01 to 10

Physical Info: 0.08" H x 8.50" L x 8.50" W ( 0.20 lbs) 30 pages

BISAC Categories:

Juvenile Nonfiction | General

Series: Rainbows, Masks, and Ice Cream

Descriptions, Reviews, etc.

Description: Noah Henry anaambiwa kwamba hataweza kucheza na rafiki zake kwa sababu ya korona. Lakini, wakati Noah na familia yake wanapoondoka kwenda matembezini, anatambua ya kwamba hivi karibuni, mambo yatarudi kuwa mazuri.

Brief description: Deana Sobel Lederman ni mwandishi na mchoraji. Bibi yake alikuwa mchoraji ambaye alisomea kwenye chuo kiitwacho The Art Students League of New York. Alimfundisha Deana kuhusu uchoraji wakati Deana alikuwa mchanga sana, na mamake Deana pia alimhimiza kuchora kutoka wakati Deana alikuwa mchanga. Deana alichora kitabu chake cha kwanza cha ucheshi kinachoitwa The Wacky Couples wakati alikuwa na miaka minane, na baadaye alikuwa mchoraji mkuu wa gazeti la wanafunzi wa UC Berkeley na msanii aliyechapishwa. Baadaye, alisomea kuhusu sheria ya hakimiliki kwenye chuo kikuu cha sheria. Ameishi New York City; Berkeley, California; London, England; na Cambridge, Massachusetts. Deana alikulia katika mji wa San Diego, California, na hapo ndipo anapoishi pamoja na mume wake na watoto wake wawili.

Review Quotes:

Michoro katika kitabu hiki ni ya kupendeza sana.

- Sam Gross, Msanii wa New Yorker


Deana Sobel Lederman ana zawadi ya kuandika kwa watoto na uwazi na fadhili na ucheshi. Michoro yake inakamilisha maandishi yake na urahisi

wa kuelewa wake inatukumbusha kazi ya Jean de Brunhoff.

- Victoria Roberts, Msanii wa New Yorker


Iliotungwa wakati wa "Mgogoro Mkubwa," Upinde wa Mvua, Barakoa, na Aiskrimu zilituletea furaha na njia nzuri ya kuzugumza na watoto wetu

kuhusu virusi vya Corona. Kuweza kusoma hivi vitabu kwa lugha zetu pia ilimaanisha kwamba vilikuja karibu na mioyo yetu.

- Dr. Fabrice Jaumont, mwandishi na mwalimu.


Sikuweza kushiriki Noah Henry na waalimu wangu na marafi ki zangu kwa muda ambao ningependa. Deana alichukua hali zetu za sasa na kuzionyesha kupitia macho ya mtoto kwa njia ambayo singeweza kufanya kamwe kama mama au mwalimu.

- Alexa Ingram Msimamizi wa wilaya ya shule & Mama


Bado kuna cheche za mwangaza katika nyakati za giza sana. Nilipata hadithi inayohimiza ya Noah Henry na upendo wake wa pinde za mvua, ilioandikwa na Deana Sobel Lederman, kwenye mitandao ya kijamii. Michoro katika kitabu hiki zilinivuta kwenye hadithi ya hamu ya kijana mmoja kuungana na wanafunzi wenzake wakati wa janga hii. Hadithi hii ya kupendeza itawafurahisha wasomaji na kuwapa ujumbe wa matumaini.

- Robin Cogan Muugizi wa shule

Worth Considering
Product successfully added to cart!